Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Kwa muda mrefu kumekuwa na hiyo ligi kama card b kimuziki yuko vizuri kuliko Nick Minaj ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki nawashangaa tu wanaomlinganisha na Nick!
Kwa mtazamo wangu Nick yuko njema zaid kuliko card b na hata ukisema umuunganishe card b na wale shemeji zake(Migos crew) bado naona nick yupo juu!
Wale ambao mnafutilia mziki wa hawa wadada wawili mnasemaje?