Ni kweli Mkuu ni mtazamo wangu ila Kuna wakati nahisi labda yale yale ya kumtafutia mpinzani nick.... Kama kibongo kibongo zile team mbili ila aliyevizuri anaonekana tuKwa mtazamo wako.naona mtazamo wao wamempa shavu Card..sasa nani anapaswa kumfuata mwenzake
Cardi b wa kawaida tu,upepo una mbeba
Shavu alilopewa ni la rapper chipukizi anayekuja kwa kasiKwa mtazamo wako.naona mtazamo wao wamempa shavu Card..sasa nani anapaswa kumfuata mwenzake
Card b ni rapper chipukizi hana ngoma ambazo unaweza ukaziweka akafunikwa nicki
Motorspot ya migos card b mbona kapotezwa na nick
Motorspot ya migoshao wote siwajui
Mfn wa nymbo zao nwafananshe
Huyu dem noma,Remmy ma ndio challenge kwa minaj
Kwa muda mrefu kumekuwa na hiyo ligi kama card b kimuziki yuko vizuri kuliko Nick Minaj ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki nawashangaa tu wanaomlinganisha na Nick!
Kwa mtazamo wangu Nick yuko njema zaid kuliko card b na hata ukisema umuunganishe card b na wale shemeji zake(Migos crew) bado naona nick yupo juu!
Wale ambao mnafutilia mziki wa hawa wadada wawili mnasemaje?
Me nadhani wanampa moyo cardi B, Nick Minaj yuko poa sana, flow yake zile lyrics zake sijaona kama Card B anaivana nae kiasi cha kumlinganisha, ni upepo tu ila ''kawaida sana" - nadhani ndo yale aliyosema 2pac "Cause the media is full of dirty tricks" aiseeKwa muda mrefu kumekuwa na hiyo ligi kama card b kimuziki yuko vizuri kuliko Nick Minaj ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki nawashangaa tu wanaomlinganisha na Nick!
Kwa mtazamo wangu Nick yuko njema zaid kuliko card b na hata ukisema umuunganishe card b na wale shemeji zake(Migos crew) bado naona nick yupo juu!
Wale ambao mnafutilia mziki wa hawa wadada wawili mnasemaje?