Hivi anaesoma degree ya mathematics huwa anakuwa nani au hufanya kazi gani

Hivi anaesoma degree ya mathematics huwa anakuwa nani au hufanya kazi gani

Ford89

Senior Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
128
Reaction score
15
nataka kujua ndugu zangu,mtu aliesoma degree ya mathematics huwa anakuwa nan au anafanya kaz gan?
 
Huwa na kazi nyingi tu.
Kwa mfano;
Kwenye Scientific researches(hawa jamaa hutumiwa kutokana na umahiri wao katika Maths);
Viwandandani(hasa nchi zilizo)
 
Samahani network ilikata naendelea;
Hao wanatumiwa kwenye;
Scientific Researches;
Viwandani(nchi zilizoendelea hutumia watu hawa kwaajili ya cost estimation and packaging ambapo calculus hutumika sana kukadiria ujazo wa vyombo au containers za kuwekea bidhaa);
Wanatumiwa kwenye aerospace projects wanapodesign vifaa vyao,
Navigation projects;
Kufundisha vyuoni;
Waandishi wa vitabu vya maths na wahariri.
Na mengine mengi ambayo tanzania hayafanywi.
 
Hapo kwenye calculus nakubaliana na ww kwa asilimia kubwa mkuu,, application ya calculus iko wide sana mkuu.

Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Hapo kwenye calculus nakubaliana na ww kwa asilimia kubwa mkuu,, application ya calculus iko wide sana mkuu.

Sent from my iPhone using JamiiForums app.

Nakubaliana nawe mkuu hasa vipengele vya Integration, Differentiation na Defferentil equation vinahusika sana.
 
Hesabu ! Hapa TZ atakuwa Mwalimu !

Mana hesabu calculator zipo !
Na yeye anacheza tu na namba ! Yaani kawa kama calculator !
Labda amix na uchumi

Maisha Mtelezo
 
Back
Top Bottom