Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 325
ameen
Mkuu inshu sio kuchakata tu, Bali unahangaika kujiongezea matatizo katika maisha yako Kwa kufunga maagano katika ulimwengu wa kiroho na kukuletea madhara katika maisha yako,
Huu ni wakati wa kutubu na kuacha maasi korona iweze kupitia mbali.
Mkuu mnafungua chuo lini?Wakuu niaje mazee, kuna kademu kamoja ni karfk kangu tu, tumezoeana hata wiki 2 hazijaisha ila kameanza kunionyeshea vitu vya ajabu, kanaweza kunitumia sms ya uck mwema saa6 uck, mara saa12 asubuhi kakanitumia sms ya siku njema mimi nakasoma tu nakatafutia gia, leo nimekajarbu kukaambia baadae kanitembelee gheto kamegoma na kutoa sababu kibao,
Mabaharia hapo nitumie gia gani kukachakata haka ka manzi???
Hahaha jamaa ni noma duuhMkuu hadi hili unaomba ushauri?
Kweli wanawake wana huruma.