Hivi Anthony Bellew ni shoga au?

Hivi Anthony Bellew ni shoga au?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Huyu bondia ANTHONY BELLEW ambaye amepoteza pambano usiku wa leo dhidi ya mpinzani wake Oleksander USyka ni shoga au???

Inawezekana vipi mwanaume kumbusu mara mbilimbili mwanaume mwenzako tena upo comfortable kabisa???

ANTHONY Bellew pia hata aina za comments anazoziandika Instagram pamoja na Emojis anazotumia zimekaa kikike kike sana yani daah.

ANTHONY BELLEW ni rafiki mkubwa sana wa ANTHONY OLUWAFEMI OLASENI JOSHUA (AJ) sasa Anthony Joshua awe makini sana na huyu jamaa maana asije akaambukizwa tabia za kigay gay na huyu Anthony mwenzake.

Kwa wapenzi wa filamu, Anthony Bellew alishiriki pia katika filamu ya The Creed ambapo humo ndani pia wapo watu kama King Gabo Rosado,Michael Jordan,Sylivester Stallone (Rambo), ring announcer Mr Michael Buffer etc.

20181111_061525.jpeg
 
Ni dalili ya ushoga mwanaume kumnyonya ndimi mwanaume mwenzake

Bellow apimwe marinda
 
aaaaah kweli konki master hatari yani leo hii mleta mada kawageuka wenzie 😂😂😂😂😂
 
Anthony Bellew a complished boxer anatuhumiwa na mtu ambaye hata hajui gloves zinavaliwaje mkononi kwamba eti ni shoga
 
Huyu bondia ANTHONY BELLEW ambaye amepoteza pambano usiku wa leo dhidi ya mpinzani wake Oleksander USyka ni shoga au???

Inawezekana vipi mwanaume kumbusu mara mbilimbili mwanaume mwenzako tena upo comfortable kabisa???

ANTHONY Bellew pia hata aina za comments anazoziandika Instagram pamoja na Emojis anazotumia zimekaa kikike kike sana yani daah.

ANTHONY BELLEW ni rafiki mkubwa sana wa ANTHONY OLUWAFEMI OLASENI JOSHUA (AJ) sasa Anthony Joshua awe makini sana na huyu jamaa maana asije akaambukizwa tabia za kigay gay na huyu Anthony mwenzake.

Kwa wapenzi wa filamu, Anthony Bellew alishiriki pia katika filamu ya The Creed ambapo humo ndani pia wapo watu kama King Gabo Rosado,Michael Jordan,Sylivester Stallone (Rambo), ring announcer Mr Michael Buffer etc.

View attachment 929429
Whaaat[emoji41]
watashi_hatsua-20181111-0001.jpeg
 
Back
Top Bottom