Elections 2010 Hivi asiposhinda itakuwaje?

Elections 2010 Hivi asiposhinda itakuwaje?

Gelange Vidunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2008
Posts
314
Reaction score
31
Yote yanayotokana na uchaguzi huu - kampeni, accusation za wizi wa wake za watu, accusation ya familia kupiga kampeni, kushikwa kwa lori Tunduma lenye kadi za kupigia kura zenye "ndiyo" kwa Kikwete, accusation za kampeni finances, udini, na, kubwa kupita vyote eti kwamba mgombea fulani atapita uraisi zaidi ya mgombea mwingine. OK.

Nauliza: Kama asiposhinda Slaa, itakuaje? Kama asiposhinda Kikwete itakuaje? Should we expect the worst ala Kenya? Au our peacefulness demeanor will once again suffice?

Personally, I think peace will prevail - Kenya was too close an example to ignore. But again, who knows?

"I love black people...but I hate niggers!" Chris Rock Live!

I love Tanzanians but the niggers amongst us worries me to death!! Because there are niggers in our midst, stupid, crazy, big headed niggers....and they worry me a lot!!!
 
Back
Top Bottom