Hivi askari kama hawa bado wapo Tanzania hii?

Mkuu kwani amefanya jambo gani la ajabu hapo? Hapo nimesikia anapiga kelele tu na wengine wametulia wanasikiliza. Je, amefanya au kutenda wema gani hapo?
Zamani wakati nakuwa niliamini kwamba
1. Polisi hawanywi pombe. Hasa gongo akili ilinituma kwamba hawawezi kunywa kwasababu wao ndiyo wanakataza!
Pia niliamini polisi hawavuti bangi! Watavutaje wakati wao ndo wanakamata?
Nilipokuwa mkubwa nikaja kugundua kwamba POLISI NI WALEVI KULIKO WALEVI WENYEWE NA WANAVUTA SANA MSUBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…