Hivi atakuwa ananipenda au msanii tu?


Anakupenda pia,just be frank to her.
 
Soma dogo,ucruhusu kuchanganykiwa na haya mambo,km wako atakuja 2 na kla aina ya wepec utakuwepo ili uwe nae.
ukiona mambo hayaelewek jua c wako huyo yupo mwingne wa ukweli anakusubiri,pga shule utengeneze heshma watajleta kbao.
 
We soma shule bwana, kwanza huyo baadaye atakupotezea hawana maana hata kidogo.
 
unampenda muambie ww c mtoto wakiume bwana au?????? na kama humuelewi mpotezee asije kua anakuweka ktk mzani ww na huyo msela wake

watoto wa kiume wa siku hizi madomo mazito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…