Hivi ATF inatakiwa ibadilishwe au ni lifetime?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu.

Gearbox oil almaarufu Automatic Transmission Fluid (ATF) inatakiwa ibadirishwe au?

Maana wenyewe watengenezaji wanasema tusibadirishe, ila fundi Juma anasema ibadirishwe.

We unafuataga ipi?
 
Gari tunazoagiza nyingi ni mtumba so hujui kule nje ilikuwa inatumikaje,, wenzetu wana tow sana kitu ambacho kina ipa hear box stress so ni vyema ukabadilisha tuu.. Ila kwa Kufuata recommended na kujitahidi upate hydraulic original
 
Hizo normal driving conditions ni ngumu sana. Ukisoma manual ya gari utakuta wengi tunadondokea schedule 2 / extreme conditions. Foleni, vumbi, barabara mbovu ni factors na zimeainishwa.

Pili, hiyo lifetime ATF ni marketing gimmick kwa ajili ya warranty purposes. Wenzetu lifetime ya gari ni 60,000km!
 
Gari tunazoagiza nyingi ni mtumba so hujui kule nje ilikuwa inatumikaje,, wenzetu wana tow sana kitu ambacho kina ipa hear box stress so ni vyema ukabadilisha tuu.. Ila kwa Kufuata recommended na kujitahidi upate hydraulic original
Ili wazo zuri, ingawa kupata Original inabidi tena uwe mchakarikaji sana hivi hivi wafundi wetu dah
 
Wakuu.

Gearbox oil almaarufu Automatic Transmission Fluid (ATF) inatakiwa ibadirishwe au?

View attachment 3117144

Maana wenyewe watengenezaji wanasema tusibadirishe, ila fundi Juma anasema ibadirishwe.

We unafuataga ipi?
Life time means warranty aka 60,000km or 3 years whatever comes first. Hio kauli imemzingatia mnunuzi wa kwanza ambae hawezi kukaa na hio gari 60,000
km atakuwa kasha dispose hence lifetime imepita.
 
Gearbox oil almaarufu Automatic Transmission Fluid (ATF) inatakiwa ibadirishwe au?

Audio: The Essential Guide to Automatic Transmission Fluid (ATF) Maintenance
Your browser is not able to play this audio.
 
Naonaga watumiaji wengi wanapuuza hizi fluids, wao ni Oil tu.
Kuna gari zinavumilia. Nina GX100 mara ya mwisho odo ilikuwa 250k(odo imezima now zaidi ya mwaka) sijawahi kubadili ATF.
 
Kuna gari zinavumilia. Nina GX100 mara ya mwisho odo ilikuwa 250k(odo imezima now zaidi ya mwaka) sijawahi kubadili ATF.
Haitumii Type IV iyo ya Toyota? Ila GX series jamaa walituliza vichwa.
 
Dah huu uzi umekuja wakati muafaka,kuna issue nilikuwa nasoma mtandaoni Landrover Dicovery 3 jamaa anaelezea kuwa kubadilisha ATF kwa hizo gari unaweza kuharibu gear box ikawa ina skip gear au hata kupunguza perfomance,sasa sijajua kama kuna ukweli kwenye hili...
 
Sio kweli. Hizi ni muhimu kubadili ATF. Sema wengi gharama zinawashinda. ATF yake nzuri inaanzia 45,000/- litre moja. hapo zidisha mara 8 na filter yake kama 300,000/-
 
ATF si kitu cha kubadili kika wakati ila pia si lifetime. Ukiweka ATF Original, most cars zitaenda zaidi ya km 30,000 - 40,000 kabla ya kuhitaji kubadilishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…