Mauya mtoe hapo kabisa yule hawezi hata kupangwa mechi kama hiyo ni bora Muda arudi chini kama ikitokea sure boy anashida.Mh sure boy au Mauya kwa wale jamaa ni mbingu na ardhi.
Kwani hao wachezaji wanakazi gani Yanga?! Unaowaona uwanjani wanacheza ni MAJINI mahsusi kabisa.Droo imepangwa na ni dhahiri shahiri, Yanga imekutana na timu ambayo hakuna timu anayetamani akutane nae. Mamelod ndio timu inayoogopwa na kila mmoja ila Yanga ndio imepangwa nao.
Ni vizuri kupimana ubavu na squad ya Yanga iliyokamili ila kama ikitokea kuna mchezaji wa muhimu kamiss basi ni bahati mbaya unaenda vitani ukiwa haujabeba silaha zako kamili lakini lazima ukapigane.
Je, Aucho atakuwa amerejea uwanjani? Yanga bila Aucho ina struggle sana ni roho ya Yanga iliyo bora.
Tarehe 28/29First leg tarehe ngapi?
Timu yangu ndio mmepangiwa,masandawana.Kwani timu yako haipo klabu bingwa? Si uende ukajadili yahusuyo timu yako?
March29. Marudio april 5First leg tarehe ngapi?
Alipata yellow ya kijinga sana iliyomfanya asicheze Hio mechi, mechi ilikua mwishoni kuisha tumeshashinda comfortable kabisa akaenda kumsuma mchezaji timu pinzani pasipo na Sababu yoyote, nilichukia sanaAucho alikosa mechi za muhimu katika historia ya yanga fainali ya cafcc.
Na sasa muda ni mwalimu mzuri je itajirudia au itakuwaje tusubiri ,
Aucho ni mzuri wa kuzuia akisaidiwa na nguvu, stamina na urefu na ni mzuri wa pasi ndefu za counter attack , lakini madhaifu yupo slow na vilevile huwa anasababisha sana faulo
Sureboy ni mzuri wa kukimbiza mpira kushambulia na kutoa pasi fupi fupi .