Hivi 'audience' ya Clouds Fm ni nani?

inasikilizwa na watu wengi sana .. napenda sana style yao ya utangazaji...
 
kila mtu ana choice yake ndio maana hata PORN industry inakuwa kila siku coz kuna wateja
 
Dah mi niliacha kuisikiliza rasmi hii radio na kufuatilia shughuli zote clouds entertainment toka mwaka 2004!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…