Hivi awa polisi wetu vipi

ADAM MILLINGA

Senior Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
117
Reaction score
13
Habari za jioni wana jf hivi tabia ya polisi kuwabambikizia makosa rahia itaisha lini sio siri inaniuma sana umefanya kosa kidogo utapewa kosa hilo adi utashangaa utasikia umevunja maduka ya muhindi mara umeua kwa kutumia siraha kumbe maskini hata kuishika huwezi ila nasema nitakuwa tayari kuuliwa au kujiua endapo mim nitakutwa na jambo ilo kwan nitakacho kifanya kitaishangaza dunia, tanzania bwana bora ningezaliwa iraq nijue nipo vitani kuliko maonevu ya tz
nimechoka sana na mambo ya tz
 

Kwa hiyo unataka kusema kuwa mahakama haijui kazi zake? na kwamba wanapelekeshwa na polisi?
 
tena na kwambia hapa mwanza ndo usiseme kila uchao unyang'anyi wa kutumia silaha wanafunzi kibao wamejazana gereza la butimba hivi nyie hakii za binadamu mko wapi?au kazi yenu ni olitic tu?temeeni magereza muone haki zinavyovunjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…