Tumia akili kufikiri na kuelewa. Sina shida ya matokeo kitendo cha mchezaji ni kiovu ambacho mechi tatu anakosa
Nitumie akili...je, wewe unatumia akili kweli kutoa tuhuma mbaya dhidi ya mchezaji tuhuma ambazo hata huna uhakika nazo? Ni nani atumie akili, kati yangu na wewe?? Huna uhakika na issue acha kutoa comment...mpira wa hisia na majungu umepitwa na wakati...halafu jifunze kutumia lugha nzuri kwenye mijadala...huna haki hata kidogo kumwambia mwenzio hatumii akili katika kufikiri...uwe na tabia ya mtu mzima kwenye mijadala...ukubali kutokubaliana na wenzio...Haiwezekani wewe ndiyo uwe unatumia akili katika mijadala na wenzio eti hawatumii akili...kwa hiyo unadhani kusema au kuandika kuwa yule mchezaji anahujumu timu ndiyo kutumia akili???!!!