Habari!
Mfumo huu uingilia mfumo wa mwili kwenye kutoa vichocheo vinavyohusika na uzazi. Pia huingilia mfumo wa ufyonzaji wa madini na vitamins. Kutokana na hayo, suala lako linategemea:
1: Umetumia mfumo husika kwa mfululizo kwa muda gani?
2: Lishe yako wakati na baada ya matumizi ya mfumo husika.
3: Uwezo/uharaka wa mfumo wa mwili kurejea kwenye kuchukua majukumu yake ya awali ikizingatiwa na hali ya mfumo wa ulinganifu wa homoni kabla ya matumizi ya mfumo husika.
NB: Muda mfupi zaidi wa kurejea ni wiki moja au mbili kwa kawaida na ule wa mbali ni hata mwaka ikitegemea na yale pale juu.
Ushauri hutolewa pia kula mlo kamili na au kupata suppliment za vitamins ili kurejea mapema kwa suala husika.