M Malovee JF-Expert Member Joined Dec 3, 2020 Posts 202 Reaction score 324 Dec 26, 2021 #1 Marry Christmas to you all, Sina mengii Ila napenda kufahamu baaada ya wamachinga kufukuzwa eneo la mwenge ,ni wapi wadada wanapata now viatu ,maana Mimi mwenge ndio Ilikuwa sehemu yangu pendwa
Marry Christmas to you all, Sina mengii Ila napenda kufahamu baaada ya wamachinga kufukuzwa eneo la mwenge ,ni wapi wadada wanapata now viatu ,maana Mimi mwenge ndio Ilikuwa sehemu yangu pendwa
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,436 Reaction score 7,955 Dec 26, 2021 #2 hao wana namba zao za simu! wadada phone book inaweza kuwa na contacts hata elfu 15
M Malovee JF-Expert Member Joined Dec 3, 2020 Posts 202 Reaction score 324 Dec 26, 2021 Thread starter #3 Mtemi mpambalioto said: hao wana namba zao za simu! wadada phone book inaweza kuwa na contacts hata elfu 15 Click to expand... Sijakuelewa , umemaanisha nini
Mtemi mpambalioto said: hao wana namba zao za simu! wadada phone book inaweza kuwa na contacts hata elfu 15 Click to expand... Sijakuelewa , umemaanisha nini
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 26, 2021 #4 Ngoja waje kutoa miongozo...