Hivi Baadhi Ya Watanzania Wa JF (Kenyan Forums) Huwa Na Low Self-Esteem?

Old school ndounatuletea. Be serious. This was Moi's time.
 
Baadhi yenu hamsaidiki. Kweli Inferiority complex imewameza kweli. Ni msaada tu mnahitaji
 
Baadhi yenu hamsaidiki. Kweli Inferiority complex imewameza kweli. Ni msaada tu mnahitaji
Sisi ndio tunawasaidia nyie! Hakuna kitu Kenya imewahi kusaidia Tanzania!

Usije kukurupuka ukasema abt Kenyan products zinazokuja tz maana huo sio msaada
 
Nimeishi na kusoma na watz wengi sana. Kando na ubishi wa hapa jf watz wako sawa tu. Hamna cha low self esteem wala nini! Kweli hatufanani kwa tabia na mengi tu lakini watz hawanaga noma kawaida yao huwa relaxed tu. Wakenya huwa hatutulii kila dakika kuna maajabu yanafanyika.
 
Mkapa amewasaidia kuwasuruhisha kwenye 2007 post election violence.


Vipi nitaje na jingine?


International pressure ndio iliwafanya Raila na Kibaki kuingia kwenye mahojiano, na nchi kadhaa zilihusika katika kutatua zogo lile. Sio Tanzania pekee, hata waghana basi wanaweza kudai kuhusika katika kutatua zogo letu.

With or without Tanzania the matter would still have been resolved peacefully.

Taja mengine....
 
Mi ni mtz lakn let be fair..umejibu hoja kisomi na bila bias yoyote. Wakenya wangekua na busara kama zako huu uchafu wa kutukanana na kuringiana haungeonekana humu jf. Instead tungejikita kwenye issues za maendeleo na kubadilishana skills..naamini kuna mambo mengi tz tunapaswa kujifunza kwenu mfano maswala ya entrepreneurs and the like. Likewise ninyi kenyans hata kama hamtak kuna mambo mnatakiwa kujifunza kwetu. Personal nawaheshim kwa hatua mliyofikia haswa ya uchumi na elimu thoug mna limited resources compare na tz lakn mmeweza kufikia kwwnye Middle income wakat tz bado tunapambana. Ni kwel wanaojisifu huku na kutukanana ukichunguza ni watu wakawaida. Wengi hatufaid hata level ya uchumi wa nchi tunaoringia. Tunapigana watoto wale na waende shule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoishi ndo pachafu mkuu badilika otherwise utapata cholera. Wenzako tushabadilika. Dsm ya sasa sio ya mwaka 2000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kusingekuwa na international pressure mngeendelea kuuana?

Mpaka hapo umeona jinsi tunavyowasaidia kwenye matatizo yenu! Ghana pia ilihusika, you can't deny Kofi Anan's role! Huo ni msaada!

Nikukumbushe kuwa katika selection wanatafutwa watu ambao ni competent, ndo maana mkapa was chosen in the first place!

Kwa hiyo huo ni msaada tuliwapa! Unakubaliana na hili kwanza?
 


Maybe yes, maybe no. It is hard to tell, at some point the two men would have arrived at a resolution. Kenyans at one point were begining to get tired of all the politics and wanted to move on with their lives.

But it is the international pressure which hastened the peace negotiations.

It is very ludicrous Tanzania to claim all the credit. Most of tge credit should go to the Kenyans themselves who listened to the counsel from the international community, and were committed to restoring the peace.
 
Hata mods nao hawaonagi huu ujinga.
nadhani ni utoto tu unawasambua.
 

We aren't grabbing all the credits, what am saying is that we played a big role during the piece talks! I understand Mkapa wasn't alone, Koffi Anan plus many others helped Kenya by then!

BTW, if u say it was the international pressure which hastened the peace, tz is inclusive.
 

We help each other out when in crisis. Kenya cannot sit back when Tanzania is faced with a similar humanitarian crisis, can it? Remember the massive landslide that killed an estimated 300 pipo in Uganda, the Somalia war and drought crisis, the earthquake in Tanzania, the ebola epidemic in west Africa......Kenya played its role to assist.

We all need each other, for no man, or country for that matter is an island.
 
Kuna wenzio wanajua sisi ni wa kusaidiwa tu! that was my concern
 
Hay guys, we are because you are and vise versa! You can live without a friend but not without a neighbor! And hectic times are always there for human beings and therefore bestows no cleverness nor foolishness to the survivors!
Take care and cheers!
 
Na kuna wenzio wanaofikiri sisi ni wa kuaaidiwa tu. Hata tukinunua nafaka yao kwao wanaona ni usaidizi wametoa hapo
Kununua nafaka ni part of business, labda kuwe na punguzo maalum la bei au tax exemption!

Kinachokuwepo hapo ni kuwa kununua tz kuna faida kidogo maana gharama zinapungua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…