Mkuu kwa njia hizi waweza mpata askofu niwemugizi nimuelewa unaweza mshauri hukoWanajamvi, kama heading inavyojieleza, nimejaribu ku google sijaona. Nimeamua niulize humu ndani endapo kuna yeyote anayefahamu kama niliowataja hapo juu, wameshawahi kuandika vitabu au hata kitabu na vikawa published? Ningependa kufahamu. Na kama hawana, napenda kuchukuwa nafasi hii kuwaomba waandike vitabu kwasababu maisha yenyewe haya ni ya kupita, lakini knowledge will survive!
Nafahamu wengine labda wanaona kuwa makala zao mbali mbali zinatosha kutokana na falsafa za hali ya juu. Lakini kama wana uwezo na nafasi ya kuandika
We unadhani haperuzi humu? Nashukuru sana hata hivyo!🙏🏾Mkuu kwa njia hizi waweza mpata askofu niwemugizi nimuelewa unaweza mshauri huko
Address:
Bishop`s Office:
P.O. Box 135, Ngara, Kagera.
Tel/Fax: +255 – 28 – 2226155
Mobile: +255 – 784 – 390900
+255 – 754 - 831390
Email: niwemugizi97@yahoo.com /
rulengengara@yahoo.com
Thank you for your intake.navyojua huwa wanaandika vitabu vingi ila vinakuwa vya kiimani zaidina vinagusa taaluma waliyonayo, haya masuala ya kawaida mfano matukio ya nchi mara nyingi ni makala tu katika gazeti na sehemu nyinginezo anyway ngoja waje wenye data kamili