Hivi bado kuna wanaume wanazama chumvini?

Hivi bado kuna wanaume wanazama chumvini?

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,143
Reaction score
4,462
Mimi ni mmoja wa shuhuda wa tabia zetu wanawake ambavyo zimepoteza speed governor. Hasa sie tunaoitwa single mother.

Lakini leo kuna jambo nimekutana nalo na nikatamani kutaka kujua hivi bado kuna wanaume wanafagia nyumba zao kwa ulimi kabla ya kuingia ndani..? Au hata baada ya kutoka.
 
Back
Top Bottom