Hivi bado kuna watu wanahonga 50,000 per night?

Mkuu elfu 50 pesa ya kawaha na kashata pale m city unasema ni pesa

Kuna viumbe wanapesa bhana hali ya uchumi ni mbaya kwako ila sio kwa wote aaaaaalaaaa
 
Wanao honga 50000 wamepungua kwa 70/%. Na hii imekuja naturally baada ya wazee wazee wa bandari, trip za nje na wezi wengi kupotezwa na Ngosha. Sasahivi ni 10000 up to 20000/=
 
Naamini mko poa sana wakuu.
Juzi juzi katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja then baada ya siku chache nikamuomba tuwe wote,ila yeye akajibu hahitaji mahusiano labda kama ni starehe kila mtu awe na hamsini zake. Nikaona isiwe shida nikaomba bei ya usiku mmoja bill aliyonipa bila kupepesa akanipa 50,000/# nikamwambia ajr ili tuongee zaidi.alichonichosha,anaishi kana mita 20 kutoka kwangu akaniambia achukuwe pikipiki na nije nilipe na hiyo ni nije ya makubaliano
Nikawaza kwa sauti hivi kwa usawa huu kweli bado yuko MTU anahonga 50000./# per night na usafiri huu yako na ikibidi chumba huu yako na kama ni kwako na sabuni ya kufulia shuka juu yako kweli???
Mm hela hiyo simpi mwanamke sio kwa usawa huu wa magu. Familia iteseke kwa Siku moja na istoshe k yenyewe ukute inamaji wala radha haina puuuuuuuuh
 
Watu bado wanaonga nyumba na magari unashangaa 50,000/=?????
 
Naamini mko poa sana wakuu.
Juzi juzi katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja then baada ya siku chache nikamuomba tuwe wote,ila yeye akajibu hahitaji mahusiano labda kama ni starehe kila mtu awe na hamsini zake. Nikaona isiwe shida nikaomba bei ya usiku mmoja bill aliyonipa bila kupepesa akanipa 50,000/# nikamwambia ajr ili tuongee zaidi.alichonichosha,anaishi kana mita 20 kutoka kwangu akaniambia achukuwe pikipiki na nije nilipe na hiyo ni nije ya makubaliano
Nikawaza kwa sauti hivi kwa usawa huu kweli bado yuko MTU anahonga 50000./# per night na usafiri huu yako na ikibidi chumba huu yako na kama ni kwako na sabuni ya kufulia shuka juu yako kweli???
Starehe gharama bwana mdogo.kama hautaki gharama tafuta mke.
 
  • Thanks
Reactions: lup
Back
Top Bottom