Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana mchezo wao siku hizi wanaweka ndimuMm hela hiyo simpi mwanamke sio kwa usawa huu wa magu. Familia iteseke kwa Siku moja na istoshe k yenyewe ukute inamaji wala radha haina puuuuuuuuh
Mm ni member nimekutana nazo hizo sana...Kwann umeuliza badoo!?
Wanaume wengi siku hizi karibu nchi nzima wenye kipato cha chini na cha kati hukutana na michepuko kwa muda tu wakati wa mchana na huwalipa kati ya elfu kumi au elfu15.hii ni flat nchi nzima.matajili wapo wanaotoboka pesa nyingi lakini pia na wao wakizidishiwa bill nyingi na wadada huishia kuwa block japo wanauwezo.mapenzi siyo biashara wadada waelewe hivyoNaamini mko poa sana wakuu.
Juzi juzi katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja then baada ya siku chache nikamuomba tuwe wote,ila yeye akajibu hahitaji mahusiano labda kama ni starehe kila mtu awe na hamsini zake. Nikaona isiwe shida nikaomba bei ya usiku mmoja bill aliyonipa bila kupepesa akanipa 50,000/# nikamwambia ajr ili tuongee zaidi.alichonichosha,anaishi kana mita 20 kutoka kwangu akaniambia achukuwe pikipiki na nije nilipe na hiyo ni nije ya makubaliano
Nikawaza kwa sauti hivi kwa usawa huu kweli bado yuko MTU anahonga 50000./# per night na usafiri huu yako na ikibidi chumba huu yako na kama ni kwako na sabuni ya kufulia shuka juu yako kweli???
Kweli tuKuna wengine wana hela zao, 50,000 ni hela ya soda tu.