Hivi bado kuna watu wanahonga 50,000 per night?

Hivi bado kuna watu wanahonga 50,000 per night?

Mm hela hiyo simpi mwanamke sio kwa usawa huu wa magu. Familia iteseke kwa Siku moja na istoshe k yenyewe ukute inamaji wala radha haina puuuuuuuuh
Wana mchezo wao siku hizi wanaweka ndimu
 
Mbona kuna watoto wazuri wa chuo bei poa kabisa, ukizingatia boom hakuna ni kujing'olea tu
 
Sasa unashtuka wewe kutoa fifty kwa demu, sasa subiri utakapotokewa wewe na bazazi likuulize 'nikupe fifty?'
 
Naamini mko poa sana wakuu.
Juzi juzi katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja then baada ya siku chache nikamuomba tuwe wote,ila yeye akajibu hahitaji mahusiano labda kama ni starehe kila mtu awe na hamsini zake. Nikaona isiwe shida nikaomba bei ya usiku mmoja bill aliyonipa bila kupepesa akanipa 50,000/# nikamwambia ajr ili tuongee zaidi.alichonichosha,anaishi kana mita 20 kutoka kwangu akaniambia achukuwe pikipiki na nije nilipe na hiyo ni nije ya makubaliano
Nikawaza kwa sauti hivi kwa usawa huu kweli bado yuko MTU anahonga 50000./# per night na usafiri huu yako na ikibidi chumba huu yako na kama ni kwako na sabuni ya kufulia shuka juu yako kweli???
Wanaume wengi siku hizi karibu nchi nzima wenye kipato cha chini na cha kati hukutana na michepuko kwa muda tu wakati wa mchana na huwalipa kati ya elfu kumi au elfu15.hii ni flat nchi nzima.matajili wapo wanaotoboka pesa nyingi lakini pia na wao wakizidishiwa bill nyingi na wadada huishia kuwa block japo wanauwezo.mapenzi siyo biashara wadada waelewe hivyo
 
Nmesoma replays zote hapa ila nilichogundua ni kwamba Tushapoteza masela wengi aisee. Watu wamekufa kinyama(In Mrisho mpoto's Voice). Eti mtu anajisifia Kuhonga Mijumba na Mimeli ilhali yeye anaishi kwenye nyumba za Kupnga(This is top level of Savage). Raisi anatesekea nini hii nchi aiseee si aache tuu watu wafe wote kije kizazi kingine.
 
Juzi kati pasaka 140k ilinitoka kwa double papuchi 2 in 1 asubuh sikuwaon room sijui ni mapepo majini but game ilikuwa mechi za kibabe
 
Back
Top Bottom