Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,179
- 1,502
Hizi usinunue huko mkuu... Ujanja wanaofanya wanaweka memory card tu hizi za kawaida humo ndani ndo inakua embedded na chip control ya kuifanya ikae kama external hivi... Check YouTube kuna tutorials mingi tu zinaonyesha watu wanavyolia baada ya kuvi disassemble ni kituko..wakuu tumaini ni wazima afya nilikuwa nauliza hivi kuna watu wanaagiza mizigo kikuu nilikiwa nataka kuagiza external driver naona kule 4tb wanauza 35k
hivi naomba kujua bidhaa ni Og au
Kikuu na huko AE ndo atalia vibaya kwa kununulia hivi vi storage gadgets, labda asome review kwanza za walioagiza before aone kama vilikua legit kwa huyo seller..Jaribu AliExpress
ShukranTumia alibaba au AliExpress zaidi ya hapo nenda ebay au amazon na uwe na uelewa na anayekuuzia
Hahaha imebidi nicheke kudadekna niliagza kamera sikuamin ilipofka ni mdori wa kamera kamera ya simu.
Yaan wafanya biashara weng wahunHahaha imebidi nicheke kudadek
😁😁4TB kwa 35k ni kupigwa wazi waziwakuu tumaini ni wazima afya nilikuwa nauliza hivi kuna watu wanaagiza mizigo kikuu nilikiwa nataka kuagiza external driver naona kule 4tb wanauza 35k
hivi naomba kujua bidhaa ni Og au
shukraniNimeagiza sana kupitia Kikuu, ila kwenye external drivers sikushauri, labda usome reviews na kujiridhisha. Nilinunua pendrive GB128 ikawa poa sana, nikaona ngoja ninunue ya GB 500 nikakutana na kitu cha hovyo...
Ila vingine viko poa tu. Siku hizi nimehamia Aliexpress!!
Aliexpress mzigo unapokelea wapi?Nimeagiza sana kupitia Kikuu, ila kwenye external drivers sikushauri, labda usome reviews na kujiridhisha. Nilinunua pendrive GB128 ikawa poa sana, nikaona ngoja ninunue ya GB 500 nikakutana na kitu cha hovyo...
Ila vingine viko poa tu. Siku hizi nimehamia Aliexpress!!
Ebay unapokelea wapi?Mkuu embu kuwa serious kidogo. Bidhaa yenye thamani zaidi ya laki 3 unaamini vipi kwa 30k!?
Mimi sehemu ambazo niliwahi kuagiza bidhaa na zikafika fresh kabisa ni Ebay.