Mkuu wangu tunaongezeka,ukitaka kujua ebu jiulize miaka kumi nyuma eneo ulilotoka sasa likoje.Mfano mimi ninaishai Njiro miaka kumi iliyopita tulikuwa wachahche sana leo hata sehemu ya kutema mate hakuna.
Nadhani vita na magonjwa pengine vilichangia kupunguza idadi ya watu.Mfano vita kuu wa kwanza na yapili wanadamu wengi walikufa,magonjwa kama UKIMWI,Kifua kikuu,Ndui...
Nafiki ipo haja vita kuu ya tatu ya dunia itokee ili tupungue kidogo au magonjwa mapya yasiyokuwa na tiba yatokee ili tupungue labda kwa idadi ya watu bilion 5 watakaozaliwa labda watafurahia maisha lakini tukiachwa hivi hivi nakwambia miaka 50 au 100 dunia itazidiwa na idadi ya watu