Hi!
Kinywaji niliwahi ipenda sana, hasa nikiwa na drive safari ndefu. Majuzi nikajaribu kuulizia mkata hola yale ma hotel barabaran hola. Nikaenda Liverpool, hii, wakasema atuuxi pombe, nikasema n energy, sema kama hamna, ala. Nimerudi Dar naangalia Simba vs Yanga kha hamna. Mlioificha anaawaona.