HIVI BAMBOO INVESTMENT APP NI AVAILABLE HAPA TZ??

HIVI BAMBOO INVESTMENT APP NI AVAILABLE HAPA TZ??

Alez von lumor

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2023
Posts
516
Reaction score
1,474
Habari za muda huu wanaJF

Mimi nimekuma nikipenda Sana mambo ya uwekezaji hasa online investment Sasa shida yangu ni platform ipi inafaa kwa kutumia coz DSE is such a **** and I have been buying stocks for 3 long f***in years na hakuna cha maana nilichopata what a waste of time

Eti wakuu bamboo invest app ni available kwa hapa bongo? Mana DSE miyeyusho sana

Na Kama ni available natakiwa kuwa na account gani ya benki kufanya miamala?

So mnanisaidiaje wakuu?
 
Back
Top Bottom