Hivi Bandari ya Bagamoyo iko Mlingotini au Kiromo?

Hivi Bandari ya Bagamoyo iko Mlingotini au Kiromo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni vema tukaelimishwa Bandari ya Bagamoyo iko wapi

Kama ni ile ya pale karibu na mahakama ni Bora wapewe tu waarabu kwa sababu Wazaramo ni Wavivu waliptukuka

Ila kuanzia Kitopeni, Kiromo, Zinga, Kwa kiwete hadi Mapinga huko wamejaa Wachagga Watu wa Kazi

Ahsanteni sana 😄
 
Viwanja vipi? Vinapatikana? Na bei?
 
Back
Top Bottom