johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Semenya wa ukaldayo unashusha nondo balaa na kutema madini yaliyojitosheleza.Bandari hiko mbegani haiko mlingotini wala kiromo.
Na huko unaposema kwa wavivu kuna watu wanamiliki pesa ndefu kupitia bahari kuliko unavyodhani.
Aaah aah semenya.Semenya wa ukaldayo unashusha nondo balaa na kutema madini yaliyojitosheleza.
Wewe ni mwenyeji wa huko?Aaah aah semenya.
Karibu mbegani tuvue ushimba.
Ndio semenya.Wewe ni mwenyeji wa huko?
Viwanja vipi? Vinapatikana? Na bei?Ndio semenya.
Mimi nna mashamba karibu na bandari pamoja na viwanja vya kutosha karibu na mradi njoo tufanye biashara.Viwanja vipi? Vinapatikana? Na bei?
Viwanja vipi? Vinapatikana? Na bei?
Mtoa mada amekuwa mtu wa hovyo sana siku hiziHata hueleweki.