Hivi barua ya kiofisi unaisoma gengeni!

Hivi barua ya kiofisi unaisoma gengeni!

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
245
Reaction score
314
Nimemsikiliza mtani akiongea kuhusu barua waliyomwandikia mkuu wa nchi. Japo alijisahau mara kadhaa akisema "niliyo mwandikia"! Nafsi inanituma niamini kaandika yeye hakushirikisha wenzake. Lakini hilo sio tatizo! Tatizo haswa ni pale alipoulizwa je ikiwa hatajibiwa atafanyaje?

Ndipo ushetani ulipojichomoza! Alijibu kuwa yeye keshamkabidhi mkuu barua atake au asitake kujibu wanamuachia yeye. Swadakta tawile! Na akaulizwa tena je amempa mkuu deadline ya kujibu? Akajibu kuwa si heshima kumpangia mkuu wa nchi muda wa kujibu. Swadakta tawile!

Lakini ushetani ni huu: kama kweli ameamua kumuachia mkuu wa nchi uamuzi wa kujibu au kutojibu na akaheshimu asimpangie muda wa kujibu iweje akaisome barua hadharani?

Ni heshima sampuli gani hii? Imemuongezea nini kwa kuisoma barua hadharani? Sasa hii barua kamwandikia raisi au katuandikia sisi wote? Ni barua ya raisi tena? Kwa nini raisi aijibu wakati waliopelekewa hii barua tuko wengi sasa?

Katika hotuba yake alidai yeye ni mkubwa sana hawezi kujibizana na mtu mdogo kama DC wa Hai! Lakini ajue wakati anatusomea barua na DC wa Hai naye alikuwa msikilizaji? Naye anaweza kumjibu.

Hivi chadema wanajua maana ya BARUA YA SIRI? Confidential Letter! Hii si ingestahili kuwa confidential ili iwe nzito?

Sasa hata sisi katupatia nakala! Ngoja tumjibu maana na sie si walengwa?

Sasa hivi tunataka Serikali ishughulike na matatizo yetu na sio yako na ya kakikundi kako. Katiba mpya na Tume Mpya sio shida kwetu! Haitatuongezea chakula, matibabu, elimu wala kipato. Tunahitaji maji, mawasiliano na usafiri. Shida yako usiifanye ndio yetu.

Siku nyingine kuwa na nidhamu ya uandishi na mawasiliano. Ulichofanya ni sawa na mwanafunzi amuandikie baba yake barua kuomba pocket money halafu kabla baba hajamjibu aende sokoni aisome barua kwa wachuuzi!

Au ndio maana Selasini hakuandikiwa barua? No office ethics!
 
Kwa kifupi, hivi unataka kusema nini?
 
mtoa posti ni mpuuzi sana
miaka 60 ya uhuru bado haja yako ni maji
sisi huku tushatoka tunahitaji katiba mpya na tume huru
 
Masjala za siri zimefutwa siku nyingi!!
Ameandika kwa niaba yetu hivyo ni muhimu tujue ili tujue cha kufanya akiamua kuwa jiwe kama anavyojiita!
 
Point yako ni nini hebu nenda straight. Hueleweki. Ulitaka kusemaje?
 
Nimemsikiliza mtani akiongea kuhusu barua waliyomwandikia mkuu wa nchi. Japo alijisahau mara kadhaa akisema "niliyo mwandikia"! Nafsi inanituma niamini kaandika yeye hakushirikisha wenzake. Lakini hilo sio tatizo! Tatizo haswa ni pale alipoulizwa je ikiwa hatajibiwa atafanyaje?

Ndipo ushetani ulipojichomoza! Alijibu kuwa yeye keshamkabidhi mkuu barua atake au asitake kujibu wanamuachia yeye. Swadakta tawile! Na akaulizwa tena je amempa mkuu deadline ya kujibu? Akajibu kuwa si heshima kumpangia mkuu wa nchi muda wa kujibu. Swadakta tawile!

Lakini ushetani ni huu: kama kweli ameamua kumuachia mkuu wa nchi uamuzi wa kujibu au kutojibu na akaheshimu asimpangie muda wa kujibu iweje akaisome barua hadharani?

Ni heshima sampuli gani hii? Imemuongezea nini kwa kuisoma barua hadharani? Sasa hii barua kamwandikia raisi au katuandikia sisi wote? Ni barua ya raisi tena? Kwa nini raisi aijibu wakati waliopelekewa hii barua tuko wengi sasa?

Katika hotuba yake alidai yeye ni mkubwa sana hawezi kujibizana na mtu mdogo kama DC wa Hai! Lakini ajue wakati anatusomea barua na DC wa Hai naye alikuwa msikilizaji? Naye anaweza kumjibu.

Hivi chadema wanajua maana ya BARUA YA SIRI? Confidential Letter! Hii si ingestahili kuwa confidential ili iwe nzito?

Sasa hata sisi katupatia nakala! Ngoja tumjibu maana na sie si walengwa?

Sasa hivi tunataka Serikali ishughulike na matatizo yetu na sio yako na ya kakikundi kako. Katiba mpya na Tume Mpya sio shida kwetu! Haitatuongezea chakula, matibabu, elimu wala kipato. Tunahitaji maji, mawasiliano na usafiri. Shida yako usiifanye ndio yetu.

Siku nyingine kuwa na nidhamu ya uandishi na mawasiliano. Ulichofanya ni sawa na mwanafunzi amuandikie baba yake barua kuomba pocket money halafu kabla baba hajamjibu aende sokoni aisome barua kwa wachuuzi!

Au ndio maana Selasini hakuandikiwa barua? No office ethics!
Uko sahihi Boss! Achana na wapiga kura wa twitter. Mtu anayejiita mtu mkubwa, M/kiti wa chama ameshindwa kuelewa tofauti ya barua na risala. Unapoandika barua tegemea kujibiwa kwa barua. Unapoigeuza kuwa ni risala, utajibiwa kwa risala. Naona anahangika sana na malidhiano. Tangu Mwanza hadi kesho. Je, amewasiliana na vyama vingine? Au anaamini nchi hii ni ya CHDEMA na CCM, basi! Imani ya kijinga maana mwakani uwezekano ni ACT kuwa chama kikuu cha Upinzani.

Bahati mbaya sana Mbowe huwa anaamini heshima anayopewa na 'baunsa' wa Bilicanas, au wapambe wa CHADEMA ndo hiyo hiyo anayoitaka kwa serikali wakati hana instruments za kiserikali. Hii ndo hunifanya kutia wasi sana kumpa heshima ya kitaifa mtu ambaye maisha yake yalikuwa ni ya mtaani.
 
DU safiiiiiiiiiiii mwandishi nimecheka sana pale kwenye jibu la barua
 
Mkiishiwa hoja,personal attack huwa silaha yenu!Mnaonekana wapumbavu tu,watu timamu wameelewa ustaarabu wa Mbowe mpaka Lumumba wengine humu wamempongeza!
Kuna watu humu wana ugonjwa unaoitwa Mbowe utafikiri aliwataliki dada zao!
 
Ataliki dada wakati hajawahi kuoa nje ya uchagani? Personal attack kwani aliyesoma barua ni CHADEMA? Ni mbowe. Tunapo asses, ni Mbowe. What next?
 
Mbowe katuma barua ya wazi,sasa chama chake anachokiongoza ndio mawazo na mahitaji yao kuelekea uchaguzi mkuu 2020!Sasa badala kujikita kwenye maudhui unaanza kumuattack mtu binafsi,ili iweje?Ndio mkishindwa hoja au kukosa cha kuchangia mnabwabwaja tu!Shwain kabisa!
Mabaunsa wa Mbowe wanakuhusu nini na wanaingiaje kwenye hoja zake?Shubaamiti!
 
Uko sahihi Boss! Achana na wapiga kura wa twitter. Mtu anayejiita mtu mkubwa, M/kiti wa chama ameshindwa kuelewa tofauti ya barua na risala. Unapoandika barua tegemea kujibiwa kwa barua. Unapoigeuza kuwa ni risala, utajibiwa kwa risala. Naona anahangika sana na malidhiano. Tangu Mwanza hadi kesho. Je, amewasiliana na vyama vingine? Au anaamini nchi hii ni ya CHDEMA na CCM, basi! Imani ya kijinga maana mwakani uwezekano ni ACT kuwa chama kikuu cha Upinzani.

Bahati mbaya sana Mbowe huwa anaamini heshima anayopewa na 'baunsa' wa Bilicanas, au wapambe wa CHADEMA ndo hiyo hiyo anayoitaka kwa serikali wakati hana instruments za kiserikali. Hii ndo hunifanya kutia wasi sana kumpa heshima ya kitaifa mtu ambaye maisha yake yalikuwa ni ya mtaani.
Wewe mnyime hiyo heshima kitaifa maana hupunguzi chochote,kama unataka kujua heshima anayopewa,nenda bungeni siku ya maswali kwa waziri mkuu uone swali la kwanza anapewa heshima nani kuuliza,halafu angalia PM wako anavyomuadress ndio utajua heshima anayopewa ni ipi!
 
KUHESHIMU na KUABUDU ni vitu viwili tofauti!!
Mkuu vioja haviishi humu. Nadhani wataalamu wa tafiti waichungulie JF kujua ni nini kimeikumba?
Mahali palipo kuwa panatambulika kama Home of great Thinkers pameporomoka kwa kazi na kuwa Camp of Hooligans and Vilaza kwa kasi ya supersonic.
Tokea Nape ai introduce ajira ile ya BK7 mambo yalianza kuharibika, nafuu yake ni kuwa yeye alileta wafia chama lakini wenye akili na weledi.
Kama Polepole mamaaa! Sijui anaokota wapi hawa watu? Au ndio cheap labor hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikiliza mtani akiongea kuhusu barua waliyomwandikia mkuu wa nchi. Japo alijisahau mara kadhaa akisema "niliyo mwandikia"! Nafsi inanituma niamini kaandika yeye hakushirikisha wenzake. Lakini hilo sio tatizo! Tatizo haswa ni pale alipoulizwa je ikiwa hatajibiwa atafanyaje?

Ndipo ushetani ulipojichomoza! Alijibu kuwa yeye keshamkabidhi mkuu barua atake au asitake kujibu wanamuachia yeye. Swadakta tawile! Na akaulizwa tena je amempa mkuu deadline ya kujibu? Akajibu kuwa si heshima kumpangia mkuu wa nchi muda wa kujibu. Swadakta tawile!

Lakini ushetani ni huu: kama kweli ameamua kumuachia mkuu wa nchi uamuzi wa kujibu au kutojibu na akaheshimu asimpangie muda wa kujibu iweje akaisome barua hadharani?

Ni heshima sampuli gani hii? Imemuongezea nini kwa kuisoma barua hadharani? Sasa hii barua kamwandikia raisi au katuandikia sisi wote? Ni barua ya raisi tena? Kwa nini raisi aijibu wakati waliopelekewa hii barua tuko wengi sasa?

Katika hotuba yake alidai yeye ni mkubwa sana hawezi kujibizana na mtu mdogo kama DC wa Hai! Lakini ajue wakati anatusomea barua na DC wa Hai naye alikuwa msikilizaji? Naye anaweza kumjibu.

Hivi chadema wanajua maana ya BARUA YA SIRI? Confidential Letter! Hii si ingestahili kuwa confidential ili iwe nzito?

Sasa hata sisi katupatia nakala! Ngoja tumjibu maana na sie si walengwa?

Sasa hivi tunataka Serikali ishughulike na matatizo yetu na sio yako na ya kakikundi kako. Katiba mpya na Tume Mpya sio shida kwetu! Haitatuongezea chakula, matibabu, elimu wala kipato. Tunahitaji maji, mawasiliano na usafiri. Shida yako usiifanye ndio yetu.

Siku nyingine kuwa na nidhamu ya uandishi na mawasiliano. Ulichofanya ni sawa na mwanafunzi amuandikie baba yake barua kuomba pocket money halafu kabla baba hajamjibu aende sokoni aisome barua kwa wachuuzi!

Au ndio maana Selasini hakuandikiwa barua? No office ethics!
Waziri wa Marekani Ametweet tu kumzuia Makonda,hata Mbowe angeweza kumtweet tu anatemwandikia alitaka na wajinga kama msome barua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polepole anaokota majalalani tu.
Mkuu vioja haviishi humu. Nadhani wataalamu wa tafiti waichungulie JF kujua ni nini kimeikumba?
Mahali palipo kuwa panatambulika kama Home of great Thinkers pameporomoka kwa kazi na kuwa Camp of Hooligans and Vilaza kwa kasi ya supersonic.
Tokea Nape ai introduce ajira ile ya BK7 mambo yalianza kuharibika, nafuu yake ni kuwa yeye alileta wafia chama lakini wenye akili na weledi.
Kama Polepole mamaaa! Sijui anaokota wapi hawa watu? Au ndio cheap labor hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge iko gizani mpaka tuotee clip na barua inayozungumzia ishu ya public iwe siri? imekuwa personal issue siyo?
 
Back
Top Bottom