Mzuka wanajamvi!
Huyu mwanamama alishawahi kuwa kwenye baraza la mawaziri wakati wa Kikwete na kupelekwa Kuwa Balozi wetu Japan.
Lakini rais Magufuli alipoapishwa tu na kuwa rais mara ya kwanza hata siku haikupita akamtumbua ubalozi na kumrudisha nyumbani.
Ni nini alimkosea Jiwe? Kwanini Jiwe asingesubiri walau hata wiki ama mwezi upite azoee urais halaf amfukuze ubalozi?
Siyo bure lazima kulikuwa na kitu.
johnthebaptist