Hivi battery ya N40 unaweza washa gari inayotumia N70?

Hivi battery ya N40 unaweza washa gari inayotumia N70?

Zacharia102

Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
8
Reaction score
19
Naombeni kuuliza mafundi eti BETRI ya gari mdogo mfano RAV4 unaweza kuwasha gari Kama Hilux inayotumia BETRI ya N70?
 
Naombeni kuuliza mafundi eti BETRI ya gari mdogo mfano RAV4 unaweza kuwasha gari Kama Hilux inayotumia BETRI ya N70?
Weka battery sahihi ya gari kulingana na manual ya gari husika
Kwa ushauri na upataji wa battery imara
+255719263074
 
Naombeni kuuliza mafundi eti BETRI ya gari mdogo mfano RAV4 unaweza kuwasha gari Kama Hilux inayotumia BETRI ya N70?

Una mpango wa kuunguza Gari mkuu, weka recommended battery.
 
Unajua hujamjibu swali lake.
Ndio maana nimeona nimwambia atumie battery sahihi kulingana na namna watengeneza magari wameshauri, huyo haulizi kuwasha tu kwa maana aweke astart then azime anamaanisha aweke awashe likiwaka atumie yaani kiufupi anamaanisha hiyo N40 inaweza kuendesha gari unayotaka N70?
 
Back
Top Bottom