Hivi bei ya umeme imeongezeka?

Hivi bei ya umeme imeongezeka?

Leo nimelipia umeme na kupata unit chache. Baada ya kufanya mahesabu nikagundua unit moja sasa ni shilingi 379 toka 356, hii ina maana hizo token 60 zimekuja na mabadiliko ya bei pia. Je wadau ni kweli hata nyie haya mabadiliko ya bei yamewafikia?
Ulinunua umeme huu mwezi wa 9? Isije kua umekatwa ile buku jero.
 
Back
Top Bottom