Kaundime2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 1,085
- 459
jamani hizi benki zetu sasa kila kitu tunakatwa!!
apa natolea mfano benki yangu ya CRDB
kila kitu sasa ni kulipia sijaona cha bure kwa kweli
ata salio kuuliza pale kaunta ni kulipia mwee
najiuliza mbona benki za wenzetu majuu hazina makato aya??
wao wamejipanga vipi kupata faida ambacho sisi atuwezi??
benki zetu zinatukamua sana jamani khaa
mawazo yenu tafazali