kuna vingne vya bure.join access bank.u want your account while at home? Call 0718247575
Mh nna wasiwasi ww utakuwa tapeli, Yaani afungue account akiwa nyumbani......, Then namba ulizompa ni za mobile phone. . . . bora zingekuwa za simu za ofisini kidogooo ingeniingia akilini...!
Ni mtazamo tuu mkuu usin-mind sana!
Unajua kiingereza wewe? Hapo kauliza