Escoter
Senior Member
- May 1, 2017
- 100
- 94
Habari zenu wanajamii forum..
Nilikuwa nimekaa sehemu kwenye pub fulan jijin dar, nikaona kasi kubwa ya vijana wanaokuja kununua condoms japo wao wanaziita majina tofauti tofauti nikajisemea mwenyew hivi dunia hii bila condoms maisha yangefananaje?
Haukupita muda akaja kijana ambae muonekano wake ulidhihirisha kabisa ni dereva bodaboda akiwa nae amefuata huduma hiyohiyo, mimi nilikuw jirani na counter hivyo niliweza kusikia kwa urahisi maagizo ya kijana yule kwa muhudumu.. , kabla hajaondoka yule kijana nika msemesha kidogo "vipi dogo naona umefata zana" akanijibu bro nipo kazini nimetumwa ninunue hizi kisha nimptie mwanamke fulani mitaa ya manzese ndo aende kutumika na hizi zana maeneo fulani mabibo huko, nikamuulza inamaan aliyekutuma hawezi kumtumia huyo binti bila hizo?
lilikuwa swali la kizushi., akasema brother hapa mjini bila hizi zana pangebaki bila watu.. Sasa swali ni jeni kweli hizi kitu ni msaada kwenye jamii au ni huruma yake Allah tu watu wanaishi??
Patriotist..