Dah kumbe hela ndogo hivo?, yaani bei ya pogba ndio anapewa mshindi wa uefaJana Uefa Juve kala pesa ndefu kuliko Madrid
Juve kalamba £101 m na Real madrid kalamba £89m
Juve kamzid madrid kwenye TV rights
Japokuwa madrid ndio bingwa
Mpira una mambo meng sana ,Dah kumbe hela ndogo hivo?, yaani bei ya pogba ndio anapewa mshindi wa uefa
Watu wengi tumekuwa washabikii wakubwa wa soka la ndani na nje ya Tz.
Lakini wengi wetu hatujui mshindi wa uefa huwa anabeba kitita cha paundi ngapi, Hali kadharika bingwa wa epl yeye anabeba paundi ngapi vilevile bingwa wa FA na Culling cup wao pia .
Tunaomba wenye vyanzo vya uhakika waje watujuze ambao hatufahamu ili tujue kuna wakati tunakaa tunabishana kwenye kumbi bila ya kuwa na vyanzo vya uhakika .Wapo watu wanao dai bingwa wa Fa anapata fedha nyingi kuliko wa epl, kwa hiyo wekeni ukweli hapa
FA cup mpaka mwaka juz 2014 ,bingwa alikuwa anapewa Paund million £1.8m sijahusisha tv rights
Pia bingwa anapewa nafas ya kucheza Europa cup
Watu wengi tumekuwa washabikii wakubwa wa soka la ndani na nje ya Tz.
Lakini wengi wetu hatujui mshindi wa uefa huwa anabeba kitita cha paundi ngapi, Hali kadharika bingwa wa epl yeye anabeba paundi ngapi vilevile bingwa wa FA na Culling cup wao pia .
Tunaomba wenye vyanzo vya uhakika waje watujuze ambao hatufahamu ili tujue kuna wakati tunakaa tunabishana kwenye kumbi bila ya kuwa na vyanzo vya uhakika .Wapo watu wanao dai bingwa wa Fa anapata fedha nyingi kuliko wa epl, kwa hiyo wekeni ukweli hapa
FA wametoa 38 kama ya kuwa bingwa hizo nyingine ni haki za matangazo, wadhamin n.kEpl 2016-2017
Chelsea kalamba 150m pauni