Hivi bingwa wa Epl, FA, UEFA na kombe la ligi hupewa kiasi gani ?

Kumbe malipo toka FA ni kidogo lakini mambo mengine ndio yanalipa vizuri!
 
English championship playoff ndio mchuano wenye pesa ndefu kabisa.

Juzi kati Hudlefield kalamba £176m
 
Dah, EPL hela zinamwagika si kitoto, yaani Sunderland anaeshuka daraja analamba hela ndefu kuliko bingwa wa ujerumani, italy, ufaransa na champions league?


Ndio maana hata wachezaji wakitakiwa na timu za england bei inapanda mara dufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…