Dah! Hivi bodaboda wana jema kweli? Naona mara zote wanashutumiwa wao tu na kuhukumiwa kwa mabaya ya kila aina!
Wizi, wao! uporaji, wao! uzinzi na wake za watu/wanafunzi, wao! fujo, wao! kelele mtaani/barabarani (sijui wamezifanya nini zile pikipiki zao kwenye lile bomba la kutolea moshi!), wao![emoji848]