Hivi Bodi ya Mikopo itafungua lini dirisha la maombi ya mkopo?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Mikopo kwa ajili ya wanaosoma shahada za kwanza (degrees) , Maana kuna wahanga wengi (mimi nikiwamo) , tumeacha masomo kwa sababu tumekosa fedha ya kujilipia ada , !!

Msaada please kwa anaejua please ili tuandae (important documents) .

Maana ule msemo unaosema " MTEGEMEA NDUGUYE UFA MASKINI " umenitokea .
 
Kiongozi huwezi acha shule kisa 1.5M ya Ada, naamini wako watu wazuri apa wangekuchangia kidogo walichonacho na ungemaliza chuo. Ungeeka details zako zote kwa uwazi, admission letter na hali za wazazi wako ata Mimi ningekuchangia kidogo nilichonacho. Usione aibu kuomba msaada ukikwama, mara nyingi mtu Baki usiemtarajia ndo ataekusaidia.
 
DAH , NAFURAHI KWA USHAURI WAKO NDUGU . ILA NILISHIRIKISHA , NDUGU JAMAA NA MARAFIKI PAMOJA NA WANA DARASA , ILA KILICHOTOKEA NI MIMI NAJUA , NIPO ARDHI university ,
 
Maishani mkuu mtu ataekusaidia ni mtu Baki kabisa inawezekana asiwe rafiki ako kabisa na haumfahamu. Weka wazi ata humu najua wengi wataongea ovyo lakini kuna watu waliopita maisha ya kusaidiwa kama wewe na wanatamani kusaidia.
 
Kama una uwezo hata kidogo, hata wa kuunga unga achana na mikopo, siku ya kulipa utaona nchi chungu.

NB: Najua leo hutanielewa ila ukimaliza chuo utakumbuka huu ushauri.
 
Kwa wale mliyopitia diploma,vipi mliweza kupata AVN(award verification number) kwa urahisi...!Kutoka NACTE.Maana kila nikiweka information zangu wanasema hazipo kwenye database yao.Ni muda sasa najaribu kufanya hiyo process lakini cjafanikiwa.Hapo shida ni NACTE,au vyuo vinachelewa kupeleka information za diploma kwa wahitimu wake.Cheti ninacho mkononi...!
 
Nenda ofisi zao.
 
Jaribu kuangalia status yako kwanza via Nacte kama chuo husika walituma matokeo yako yote na hapo confirmed..
Ni rahisi sana kuangalia hata kwa simu inakubali
 
Nielekeze kuangalia matokeo yako kama yametumwa kupitia NACTE....!
 
Ingia web ya NACTE www.nacte.go.tz
Then fungua link iliyoandikwa Student verification(kama sikosei) ikifunguka unafuata maelezo/hatau yao/zao
 
Mikopo kwa ajili ya wanaosoma shahada za kwanza (degrees) , Maana kuna wahanga wengi (mimi nikiwamo) , tumeacha masomo kwa sababu tumekosa fedha ya kujilipia ada , !!

Msaada please kwa anaejua please ili tuandae (important documents) .

Maana ule msemo unaosema " MTEGEMEA NDUGUYE UFA MASKINI " umenitokea .
Mkjopo si msaada, mlipe, siyo mnaenda kuto****!
 
Back
Top Bottom