Kiongozi huwezi acha shule kisa 1.5M ya Ada, naamini wako watu wazuri apa wangekuchangia kidogo walichonacho na ungemaliza chuo. Ungeeka details zako zote kwa uwazi, admission letter na hali za wazazi wako ata Mimi ningekuchangia kidogo nilichonacho. Usione aibu kuomba msaada ukikwama, mara nyingi mtu Baki usiemtarajia ndo ataekusaidia.Mikopo kwa ajili ya wanaosoma shahada za kwanza (degrees) , Maana kuna wahanga wengi (mimi nikiwamo) , tumeacha masomo kwa sababu tumekosa fedha ya kujilipia ada , !!
Msaada please kwa anaejua please ili tuandae (important documents) .
Maana ule msemo unaosema " MTEGEMEA NDUGUYE UFA MASKINI " umenitokea .
Kiongozi huwezi acha shule kisa 1.5M ya Ada, naamini wako watu wazuri apa wangekuchangia kidogo walichonacho na ungemaliza chuo. Ungeeka details zako zote kwa uwazi, admission letter na hali za wazazi wako ata Mimi ningekuchangia kidogo nilichonacho. Usione aibu kuomba msaada ukikwama, mara nyingi mtu Baki usiemtarajia ndo ataekusaidia.
Ardhi Moro..?DAH , NAFURAHI KWA USHAURI WAKO NDUGU . ILA NILISHIRIKISHA , NDUGU JAMAA NA MARAFIKI PAMOJA NA WANA DARASA , ILA KILICHOTOKEA NI MIMI NAJUA , NIPO ARDHI university ,
Subiri wasubiri dirisha tutupie maombiArdhi University ,dar
Maishani mkuu mtu ataekusaidia ni mtu Baki kabisa inawezekana asiwe rafiki ako kabisa na haumfahamu. Weka wazi ata humu najua wengi wataongea ovyo lakini kuna watu waliopita maisha ya kusaidiwa kama wewe na wanatamani kusaidia.DAH , NAFURAHI KWA USHAURI WAKO NDUGU . ILA NILISHIRIKISHA , NDUGU JAMAA NA MARAFIKI PAMOJA NA WANA DARASA , ILA KILICHOTOKEA NI MIMI NAJUA , NIPO ARDHI university ,
Nenda ofisi zao.Kwa wale mliyopitia diploma,vipi mliweza kupata AVN(award verification number) kwa urahisi...!Kutoka NACTE.Maana kila nikiweka information zangu wanasema hazipo kwenye database yao.Ni muda sasa najaribu kufanya hiyo process lakini cjafanikiwa.Hapo shida ni NACTE,au vyuo vinachelewa kupeleka information za diploma kwa wahitimu wake.Cheti ninacho mkononi...!
Jaribu kuangalia status yako kwanza via Nacte kama chuo husika walituma matokeo yako yote na hapo confirmed..Kwa wale mliyopitia diploma,vipi mliweza kupata AVN(award verification number) kwa urahisi...!Kutoka NACTE.Maana kila nikiweka information zangu wanasema hazipo kwenye database yao.Ni muda sasa najaribu kufanya hiyo process lakini cjafanikiwa.Hapo shida ni NACTE,au vyuo vinachelewa kupeleka information za diploma kwa wahitimu wake.Cheti ninacho mkononi...!
Nielekeze kuangalia matokeo yako kama yametumwa kupitia NACTE....!Jaribu kuangalia status yako kwanza via Nacte kama chuo husika walituma matokeo yako yote na hapo confirmed..
Ni rahisi sana kuangalia hata kwa simu inakubali
Asante sana mkuu...!Ingia web ya NACTE www.nacte.go.tz
Then fungua link iliyoandikwa Student verification(kama sikosei) ikifunguka unafuata maelezo/hatau yao/zao
Mkjopo si msaada, mlipe, siyo mnaenda kuto****!Mikopo kwa ajili ya wanaosoma shahada za kwanza (degrees) , Maana kuna wahanga wengi (mimi nikiwamo) , tumeacha masomo kwa sababu tumekosa fedha ya kujilipia ada , !!
Msaada please kwa anaejua please ili tuandae (important documents) .
Maana ule msemo unaosema " MTEGEMEA NDUGUYE UFA MASKINI " umenitokea .