L lukundo_kagongo New Member Joined Mar 31, 2012 Posts 3 Reaction score 1 Mar 31, 2012 #1 Wana jamii habari ya wikend?hivi bodi ya mikopo HESLB walishaajiri zile nafasi walizotangaza mwaka jana mwishoni za LOAN OFFICERS?​
Wana jamii habari ya wikend?hivi bodi ya mikopo HESLB walishaajiri zile nafasi walizotangaza mwaka jana mwishoni za LOAN OFFICERS?​
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,590 Reaction score 6,355 Mar 31, 2012 #2 tayari watu wanafanya kazi hapo!
W wakutomboka Member Joined Mar 11, 2012 Posts 25 Reaction score 4 Mar 31, 2012 #3 Washaita muda sana