Hapa ndiyo wamezingatia sanaAna umri mdogo
Muulize ShomariRomalisa ndio nani?
Nadhani alikua anamaanisha LomalisaRomalisa ndio nani?
Alikua ana maanisha Romario..Romalisa ndio nani?
Labda kwa upande wa umri unaweza ukawa na hoja lakini kwa upande wa uwanjani sidhani kama uko sahihi.Boka anaujua mpira
Ana skills za hatari
Ana kasi
Ana nguvu
Anakaba Kwa wakati
Ana umri mdogo
Boka amecheza mechi takribani 5Labda kwa upande wa umri unaweza ukawa na hoja lakini kwa upande wa uwanjani sidhani kama uko sahihi.
Boka ana faida kwenye kulinda tu lakini kwenye kushambulia hana impact yeyote ile zaidi ya kubutua mipira hovyo na krosi zake zisizo na macho ,ukilinganisha na Lomalisa ambaye alikuwa na faida sehemu zote mbili na alikuwa anafanya mambo yake kwa utulivu.
Mpira wa kisasa unamuhitaji beki kama Lomalisa kuliko Boka.
Atakuwaje mpweke wakati kuna wakongo wenzake pale yanga? Kwa idadi ya mechi alizo zicheza zinatosha kujua ni mchezaji wa aina gani.Boka amecheza mechi takribani 5
Umemlinganisha na lomalisa aliyecheza Yanga miaka 2
Hii timu ni mpya, nchi ya ugenini, lugha inamsumbua, ana upweke
Yule ni binadamu
Mpe muda basi hata mwaka mmoja ndo umlinganishe na lomalisa
Ana mengi anaweza kuboresha
Haya mkuuAtakuwaje mpweke wakati kuna wakongo wenzake pale yanga? Kwa idadi ya mechi alizo zicheza zinatosha kujua ni mchezaji wa aina gani.
Huyo Lomalisa anayesifiwa tulikaa naye miezi kadhaa hadi kuja kueleweka na kukubalika. Ilifika hatua Kibwana Shomari akawa preferred kuliko Lomalisa. Alipokaa sawa leo ndo tunayasikia haya. Achana na mashabiki maandaziBoka amecheza mechi takribani 5
Umemlinganisha na lomalisa aliyecheza Yanga miaka 2
Hii timu ni mpya, nchi ya ugenini, lugha inamsumbua, ana upweke
Yule ni binadamu
Mpe muda basi hata mwaka mmoja ndo umlinganishe na lomalisa
Ana mengi anaweza kuboresha