Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
GTA 5 online?Kumbe hio huwa naiendesha kila siku
Kwenye GTA 5.
Wewe said lugumi ile yako inajulikanahata Mimi ninayo mkuu!
Kwani gharama yake ipoje?Huu mzigo sijawahi uona machoni vipi hakuna anayeumiliki tupige nao hata picha tu.
View attachment 1999082
Au kwa mkuu @kidukulilo maana anazitumua kufuatia nyanya kariakooKama unataka hizo gari nenda Parking ya Billionaire wa JF anaitwa Billionaire Lugano