juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
kama ni mfuatiliaji wa bongofreva
Word.........................sio kwamba wanajikombakomba sana ila wewe unawafuatilia sana
Mkuu hebu kula [emoji109] [emoji109] [emoji109] za mbali hizo...wanaua muziki sanaNdo wanaua mziki wetu
Kwa hiyo hao ni wasaniiwabongo bana..sasa unadhan bank managers hao? hao ni marketing so wakiuza sura ndo wanauza kazi......SMH
Hao jamaa na na radio yao inatualibia mzikiMkuu hebu kula [emoji109] [emoji109] [emoji109] za mbali hizo...wanaua muziki sana
sasa we meneja wa msanii unataka asijichanganye na vyombo vya habari nyie jamaa mnabidi Rudi shule[emoji42] [emoji42] [emoji42]Kwa hiyo hao ni wasanii
Ukiacha kujikomba kwao kama hivi umewachagukia hao tu ukawaandikia risala, utagundua hata wao hawajikombi, kwani akina HK na petit huwajui, tuambie basi wanafanyaga nini hao na uache kujikomba kwa hawa wa wcb?Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya cha bongofreva nadhani utaelewa, ila kama si mfuatiliaji basi kaa mbali maana hapa itakuwa ni lugha gongana
Kuna wasanii kibao hapa bongo na wana mameneja japo si wote wana mameneja. Ila cha kushangaza ni wawili tu ndio wanafahamika na wanajikombakomba sana kwenye media .Yaani wanapenda umaarufu sana hawa watu. Nao ni meneja wa WCB(babu tale) na meneja wa TMK na YAMOTO BAND(Saidi fela). Mbona mameneja wengine duniani kote wanakuwa bize na shughuri zao sasa vipi hawa wanajikombakomba sana kana kwamba wapo wao tu?