Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Alikua kwenye music zaidi ila alikua mdau wa bongo movie pia.Nadhani masogange yupo upande wa bongo fleva zaidi ya bongo movie.
Naomba kujuzwa movie moja aliyoact niiangalie!
Sina uhakika, ila inasemekana huwa hachezi mbali na fulsa kwake hiyo ni fulfa kukusanya rambi rambi kuna chenji huwa zinabakiHuwa simuelewi Steve anapenda sana nafasi ya kupokea rambirambi [emoji4]
[emoji2][emoji2] basi sawaSina uhakika, ila inasemekana huwa hachezi mbali na fulsa kwake hiyo ni fulfa kukusanya rambi rambi kuna chenji huwa zinabaki
kabisa ni utamaduni wetu kushirikiana kwenye shida na raha, tatizo linalotokea hapa ni kama usemavyo wanajikaanga na matamko yao kila mtu anakuwa msemaji.Wanajikaanga tu. Mwisho wa siku yeyote anaefanya jambo kwa marehemu ni sawa. Aggy alikua rafiki yao hao bongo movie kwahiyo wao kuubeba msiba si jambo la kujipendekeza. Ni utamaduni wetu kukitokea jambo kufarijiana bila kuangalia ni familia bongo movie bongo fleva au mwandishi.
Tatizo wanataka waonekane kila mmoja alikua karibu zaidi na marehemu. Kama kawaida yetu ya unafki binadamu mtu akishafariki ndo tunaonyesha wema wetu kwakekabisa ni utamaduni wetu kushirikiana kwenye shida na raha, tatizo linalotokea hapa ni kama usemavyo wanajikaanga na matamko yao kila mtu anakuwa msemaji.
Udau wa kivipi ?Alikua kwenye music zaidi ila alikua mdau wa bongo movie pia.
Tatizo wanataka waonekane kila mmoja alikua karibu zaidi na marehemu. Kama kawaida yetu ya unafki binadamu mtu akishafariki ndo tunaonyesha wema wetu kwake
[emoji2][emoji2] basi sawa
OkayyAlikua kwenye music zaidi ila alikua mdau wa bongo movie pia.
Utapigwa wewe shauri yako. [emoji23]Wanajikaanga tu. Mwisho wa siku yeyote anaefanya jambo kwa marehemu ni sawa. Aggy alikua rafiki yao hao bongo movie kwahiyo wao kuubeba msiba si jambo la kujipendekeza. Ni utamaduni wetu kukitokea jambo kufarijiana bila kuangalia ni familia bongo movie bongo fleva au mwandishi.
Hivi huyu marehemu anahitaji faraja kwa kipindi akiwa marehemu kuliko kipindi kile alipokuwa na kesi mahakamani!? Mbona mimi binafsi sikuwahi kuwaona hao vilaza wanaojiita bongo movies wakimfariji kipindi akiwa na kesi!?Wanajikaanga tu. Mwisho wa siku yeyote anaefanya jambo kwa marehemu ni sawa. Aggy alikua rafiki yao hao bongo movie kwahiyo wao kuubeba msiba si jambo la kujipendekeza. Ni utamaduni wetu kukitokea jambo kufarijiana bila kuangalia ni familia bongo movie bongo fleva au mwandishi.
Hivi huyu marehemu anahitaji faraja kwa kipindi akiwa marehemu kuliko kipindi kile alipokuwa na kesi mahakamani!? Mbona mimi binafsi sikuwahi kuwaona hao vilaza wanaojiita bongo movies wakimfariji kipindi akiwa na kesi!?