Hivi Bongo Muvi wana Shida gani hawa watu?

bongo movie kuna machiz tu aka kamjamaa kanaitwa Steve uwa nikanafiki balaa ...sijui ukuwadi aukalipi
Haka kazee kanatokea mkoa gani?
Kabila gani?
Mbona kanatabia za ajabu?
 
Huu msiba umetengenezwa kwa sababu maalum na unafadhiriliwa na watu fulani ili utreand vya kutisha kupisha 1.5T na 26/4
 
Ni wanafiki tu,wanajifanya wana upendo kumbe matumbo yao yanawafanya kuwa hivyo
 
Bongo movei ni wajinga fulani fulani tu

Ova
 
Ka Steve Nyerere kanachora ramani ya kupiga rambirambi. Ndio maana wengi wanachukulia Bongo Movie kuwa upuuzi, hivi Steve anafanya nini kinachoonekana kwenye sanaa zaidi ya ujanja ujanja na ukuwadi tu mjini?
 
Binafsi Sioni tatizo wao kuubeba msiba,Aggy Kafariki akiwa na Chopa Huenda ijakawa alikuwa na urafiki na watu wa bongo movie japokuwa hajaigiza movie yoyote

Isitoshe ni rafiki wa Karibu wa irine uwoya na wasanii Wengine wa movie

Nilivyosikia ndugu zake wako mbeya ,wao kama wamejitolea kusimamia safari yake ya Mwisho msiwaseme vibaya kwasababu hao bongoflava hajajitokeza hata mmoja Japo nimemuona dogo janja ila alikuwa pale kwaajili ya mkewe
 
Kumbe tupo wengi tulioshangaa, nikadhani pengine aliwahi kuwa actor mi sijui maana sifatiliagi sana movie. Halafu Steve ndio ananiachaga hoi kabisa, kila msiba wa msanii wake, na anavyoongea kwa masikitiko utadhani msiba wa mamayake[emoji16][emoji16][emoji16], huyu jamaa ni mnafiki professional
 
Hivi huyu,binti ashawahi kucheza filamu gan?
 
Kajamaa kanafiki sana,kanajifanya kajuaji flan hivi kumbe boya.
 
Kama sijakosea marehemu alishawahi semaga kwamba katika misukosuko yake ya kesi hii wstu wengi walimkimbia wale waliojifanyaga ni marafiki zake wa karibu
 
Lakini mbona hawakujitokeza kipindi cha kesi yake,,,,,,, unamuonaga Dr cheni anavyohangaikaga kwenye kesi za lulu,anakua nae kwenye shida na raha,hata hawa bongo muvi ilibidi wawe wanaenda mahakaman kumsapoti,
 
Bongo muv alikuwa nao karibu zaid na alishakuwa grlfrnd wa mbongo muv mmoja
 
Lakini mbona hawakujitokeza kipindi cha kesi yake,,,,,,, unamuonaga Dr cheni anavyohangaikaga kwenye kesi za lulu,anakua nae kwenye shida na raha,hata hawa bongo muvi ilibidi wawe wanaenda mahakaman kumsapoti,
mfano hai....kuna wengine tangu wampost siku kala mvua ndo habar imeishia hpo,siku akitoka utaona watakavyokuwa mstari wa mbele kwenda kumpokea....hasa hiko kistivu
 
[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5] wachane wachane mzee baba........kuna watu wanataka kupiga hela hapo.... nawaona tu
 

MKUU UPO SAHIHI KABISA JANA NILIKUWA NAWAAMBIA WATU KITU KAMA HICHO KUWA BONGO MUVI NI WANAFIKI SANA,, NILIJIULIZA KAMA WEWE HUYU AGNESS NI LINI ALIKUWA BONGO MUVI!! LAKINI PIA NIKAJIULIZA NI LINI ALISHAWAHI HATA KUIMBA ZAIDI YA KUWA VIDEO QN. . . . WALIKUWA WANANIKERA SANA HAWA BONGO MUVI!! WENGINE NILIKUWA NAWAONA WAKICHANGANYIKIWA KABISA YANI USANII KILA MAHALI...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…