Hivi bora nini kati ya haya?

knows

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,453
Reaction score
2,234
Habari wakuu.

Naimani wote ni wazima wa afya.

Swali nikwamba ivi bola kufanya nini Kati ya haya mambo mawili.

1. Kusomesha mwanamke.
2. Kujenga Ukweni.
 
Habari wakuu.

Naimani wote ni wazima wa afya.

Swali nikwamba ivi bola kufanya nini Kati ya haya mambo mawili.

1. Kusomesha mwanamke.
2. Kujenga Ukweni.
Hamna Bora hapo....chagua Kati ya haya

1. Somesha watoto yatima
2. Jenga kanisa tuitukuze injili ya MUNGU
3. peleka kijijini.....wape wazazi wako

4. Kunywa bia ......mwagila moyo...ukue
 
Kama huna majukumu kwa mama wadogo, shangazi, wajomba, Baba wadogo n.k basi somesha shemeji yako wa kike, anaweza kuwa faida kwa baadae
 
Hamna Bora hapo....chagua Kati ya haya

1. Somesha watoto yatima
2. Jenga kanisa tuitukuze injili ya MUNGU
3. peleka kijijini.....wape wazazi wako

4. Kunywa bia ......mwagila moyo...ukue
[emoji3][emoji3][emoji3] daaah yote mawili yamepingwa na kupewa yakufanya mengine
 
Kama huna majukumu kwa mama wadogo, shangazi, wajomba, Baba wadogo n.k basi somesha shemeji yako wa kike, anaweza kuwa faida kwa baadae
Enhee niambie mkuu ntafaidika na nini baadae
 
Bola Yote, Mbona Yanafanyika Vyema.

Nakukumbusha: Wema Usizidi Uwezo.
 
Ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii, so msomeshe baby wako achana na hao wanaopinga hawajawahi kupendwa
 
Wape Mtoto wao wamsomeshe wenyewe Awajengee Na Nyumba...Wanawake kibao tena pisi wapo Kitaa wanataka kula na Kuvaa tu!! Au Ina Tv Ndani??
 
Wape Mtoto wao wamsomeshe wenyewe Awajengee Na Nyumba...Wanawake kibao tena pisi wapo Kitaa wanataka kula na Kuvaa tu!! Au Ina Tv Ndani??
Hilo jema mkuu lakini kwa upande wako wewe bola nini hapo tujadiliane kwanza au wew ulishawah Fanya moja wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…