Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hakuna bora hapo... Unless otherwise angalau mwanamke awe mkeoHabari wakuu.
Naimani wote ni wazima wa afya.
Swali nikwamba ivi bola kufanya nini Kati ya haya mambo mawili.
1. Kusomesha mwanamke.
2. Kujenga Ukweni.
Mchumba hasomeshwi..!! Soon utaambiwa siyo type yakeSah sindo unakuja kuoa mkuu au vip
Unajenga ukweni nyumba inakuwa inamilikiwa na nani?Na kujenga ukweli hutaki
Hayo yote yana heri and shari yake. Fanya kile ambacho unaweza kuhimili shari yake kama kuna ulazima wa kufanya.Habari wakuu.
Naimani wote ni wazima wa afya...
Kama nimeamua kutoa sadaka, kama ambavyo labda unawapa misaada mingine sawa. Lakini napo ni mpaka niwe nimeshamuowa mtoto waoWakwe
Wewe unaona kipi ni shidaHabari wakuu.
Naimani wote ni wazima wa afya.
Swali nikwamba ivi bola kufanya nini Kati ya haya mambo mawili.
1. Kusomesha mwanamke.
2. Kujenga Ukweni.
Mi niliachana nae nikatafuta mwingine!!Hilo jema mkuu lakini kwa upande wako wewe bola nini hapo tujadiliane kwanza au wew ulishawah Fanya moja wapo
Siwezi bossSo wewe huwezi kufanya chochote hapo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jichomeke umwagiwe
Kama umekosa kabisa kazi ya kufanyia hiyo zaa ujaze dunia kisha somesha watoto. Utakuwa na uzao mkubwa ambalo ni agizo la Mungu kuijaza duniaHabari wakuu.
Naimani wote ni wazima wa afya.
Swali nikwamba ivi bola kufanya nini Kati ya haya mambo mawili.
1. Kusomesha mwanamke.
2. Kujenga Ukweni.