hivi bord ya mikopo inataka wanachuo waandamane kwanza ndio watoe boom?

Polen wanavyuo ambao hamjapata pesa!!kwa kwel inauma na inasikitisha saana.naomba ifahamike kwamba hata ubane matumiz kvp,pesa ya boom haiwez kaa wik12!!lkn tujifunze cha kujidaia ni kura zetu2

Kweli mkuu
 
Pesa zinapochelew watoto wanaathirika kwa kujihusisha na ukahaba bila kupenda
 
pesa zimeliwa na ukawa ambalo halikuwahi kupangiwa hata bajeti,tatizo la watanzania ni wakurukaji wa kuanzisha mambo mfano bunge la katiba kitu ambacho kinawasababishia wengine majanga.Mungu wabariki wanavyuo na tz
Ukawa ndio wanai miliki hazina ya serikali???kweli wewe ni mwendawazimu.
 
Hii ni faida ya kukaa kimya wenzenu wakigoma. Na HESLB wanaelewa hili, wamewapa ambao huwa wanaandama wengine mtakula woga wenu mpaka hazina wakusanye kodi za mwezi huu labda mtafikiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…