Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya hivi: hela walizoprint A, hela zilizoko BoT na benki za biashara: B, then hela zilizoko kwenye mzunguko ni: A - B = C, kwahiyo wanajua!Its just curiosity;
Kwamba BOT wanajua kwa sasa kuna jumla ya Shilingi ngapi kwenye mzunguko nchini?
Kama ndio. Wanajuaje? Au wana hesabu tu ya walizoprint.
Tupeni elimu wajuzi.
Haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23]Hawajui maana kuna wengine wamechimbia hela chini....Ukichimbia hela chini it means kwamba haipo kwenye mzunguko,labda kama inazunguka ardhini.
Izo pesa unazopewa kama sio currency ya tz haituhusu ila ukiichenji kua tzs wanajua... so mambo yapo kiuchumi zaid...Kuna pesa zinaingia nchini bila mifumo ya kibenki mfano biashara za kimataifa na za mipakani, zipo zawadi kutoka walio nje ya nchi wanapotembelea ndugu na marafik n.k.
Hapo inakaaje?