S shaniyu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2017 Posts 336 Reaction score 239 Oct 21, 2023 #1 Habari wakuu, Hivi BRELA walishaita watu kazini kwa wale waliofanya usaili mwezi wa 7?
B Baba Reuben Member Joined Sep 11, 2024 Posts 7 Reaction score 3 Sep 25, 2024 #2 Mimi sijaona kama wameita, ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangu usaili umefanyika